Thursday, September 27, 2012

MKUTANO WA CHADEMA KILOSA

Kilosa ilikuwa ni patashika nguo kuchanika pale ambapo uongozi wa wilaya ya Kilosa walipotifua na kuonesha umma wa watanzania kuwa sasa kilosa siyo ngome ya CCM kama ilivyokuwa ikiaminika.
Wakipanda jukwaani kwa zamu, makamanda mbalimbali wa ndani ya wilaya ya kilosa walishambulia jukwaa na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuanika maovu y CCM na serikali yake kwa wananchi.
Vilevile viongozi hao wa CDM kilosa wamekemea tabia ya CCM kuoneza propaganda za kidini na kikanda kwa chama cha demokrasia na maendeleo baada ya kuona kuwa moto ulioanzishwa na chadema wa kudai mabadiliko hauzimiki.





No comments:

Post a Comment