MWANANCHI ASIYE NA HATIA AUWAWA MOROGORO
Huyu ni mwananchi aliyeuawa na polisi kufuatia maandamano ya amani ya CHADEMA leo asubuhi...Mbaya zaidi alikuwa ni muuza magazeti ambaye hakujihusisha hata na maandamano. Wengine watatu wamejeruhiwa kwa risasi.
Chanzo Facebook
No comments:
Post a Comment