MAHAKAMA YATENGUA UBUNGE JIMBO LA IGUNGA
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora
imetoa hukumu ya kesi ya ubunge iliyokuwa ikimkabili mshindi wa ubunge jimbo la
Igunga Dk Peter Kafumu (CCM).Hukumu hiyo ya kupinga matokeo yaliyompatia
ushindi Dk Kafumu imetolewa leo ambapo imemuengua mbunge huyo katika nafasi
yake ya ubunge
Shauri hilo lilifunguliwa na mlalamikaji Joseph
Kashindye dhidi ya Dk Kafumu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na msimamizi
wa uchaguzi.
No comments:
Post a Comment