Saturday, April 21, 2012

Mbunge Godbless Lema azidi kuipasua ccm.

Habari za uhakika nilizozipata hivi punde kutoka kwa mh mbunge wa Arusha mjini ndugu Godless Lema zinasema katibu hamasa wa uvccm kata ya mto wa mbu mkoani Arusha na mjumbe wa baraza la utekelezaji uvccm wilaya ya monduli na mwenyekiti wa uvccm tawi la magadini na balozi wa kitongoji cha magadini amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.

Kama mdau mkubwa sana wa CHADEMA mkoani Arusha napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha sana Chadema kamanda kutoka ccm na kukupongeza sana kamanda mpambanaji jembe la ukweli mh sana Godless Lema kwa harakati zako za ukombozi wa Taifa langu zuri Tanzania.



CHANZO JF

No comments:

Post a Comment