Sunday, August 26, 2018

TANZIA: Mama Mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) Afariki Dunia

Mama Mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu amefariki dunia leo jumapili Agosti 26 katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikua akipatiwa matibabu. Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano ya umma na huduma kwa wateja. Aminiel Aligaesha amethibitisha


No comments:

Post a Comment