Saturday, May 18, 2013

Tundu Lisu katika uzinduzi kampeni za Udiwani Iseke, Singida 17.5.2013

Kamanda Lisu ameongozana na Makamanda Hamedi na wenzake leo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa diwani kata ya Iseke ,jimboni Singida Magharibi . Katika kuelekea kutimia kwa kauli ya Mjinga akijitambua,mwelevu yuko matatani mwenyekiti wa kijiji cha Msambu kupitia ccm amejivua gamba na kujiunga na jeshi la ukombozi . Kata hii ya Iseke ina undwa na vijiji 3 ambavyo ni Iseke, Nkhoiree na Unyangwe . Kamanda anae peperusha bendera ya cdm anaitwa Emmanuel Jackson . Kwa hamasa iliyopo ushindi ni asubuh na mapema.

No comments:

Post a Comment