Mh. Mbowe na wabunge wengine walioambatana nae watawasili leo hii Mkoani Mara Mh. Mbowe ataitembelea Tarime, miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa na CHADEMA,kufungua ofisi za Chama kwenye kata mbalimbali..Jumapili,asubuhi ataongea na madiwani wa Musoma na jioni atazungumza na wadau mbalimbali wa chama hapa Musoma..Jumatatu atafanya mkutano katikaViwanja vya Mukendo.
Jumatatu kuanzia saa nane mchana, Mh. Mbowe, Mh. Nyerere, Mh. Nassari, Mh. Lema na wengine wengi wataongea. WOTE MNAKARIBISHWA!!
No comments:
Post a Comment