Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa, Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi, Mhe. Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
Mh Zitto Kabwe akisakata rhumba na Mh Leticia Nyerere katika ufunguzi wa Tawi la Chadema Washington DC, Sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa Mirage Hall, Maryland, USA.
Mh Joshua Nassari akiwa na mmoja wa Watanzania waliohudhuria sherehe za Ufunguzi wa Tawi la Chadema Washington DC Bi Monica Cosmas.
Mh Peter Msigwa akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wa Watanzania waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa Tawi la Chadema Washington DC.
Mbunge wa Viti maalumu kutoka Zanzibar kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Mariam Msabaha naye ni mmojA kati ya Wabunge waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa Tawi la Chadema Washington DC.
Mpo juu makamanda. Peeeepleeess. . .
ReplyDelete