tag:blogger.com,1999:blog-1671583353252333990.post5540030633848628793..comments2023-03-20T14:03:27.213+03:00Comments on Chadema Blog: HABARI ZA UZUSHI ZILIZOANDIKWA NA KUENEZWA NA GAZETI LA RAIA TANZANIA KUHUSU KATIBU MKUU WA CHADEMA DR SLAACHADEMABLOGhttp://www.blogger.com/profile/04377938376846913367noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-1671583353252333990.post-42793448447790720482015-08-04T14:28:34.896+03:002015-08-04T14:28:34.896+03:00Makamanda wote msirudi nyuma licha ya hizi propaga...Makamanda wote msirudi nyuma licha ya hizi propaganda za kisiasa zinazoendelea dhidi ya Mgombea wetu Ndugu Edward Lowassa. CCM wamepata kiwewe ndio maana wanahangaika kuhakikisha wanawapotosha Watanzani juu ya ukweli kuwa Mheshimiwa Lowassa ni kiboko yao. Wakae kimya ili sauti ya Mungu iwaonyeshe Edward Lowassa ni mtu wa namna gani. Wao walimkataa Makamanda tumeona anafaa tuachieni Edward LowassaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/03247072940836945512noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671583353252333990.post-21123093947061870162015-08-04T14:24:32.062+03:002015-08-04T14:24:32.062+03:00Katika Mapambano yoyote chanya uzandiki and upotos...Katika Mapambano yoyote chanya uzandiki and upotoshwaji hufanywa na wale wasiotaka mabadiliko. Ukweli kuwa CCM inakaribia kufa unawafanya vibaraka na wale wote walionunuliwa katika kuhakikisha kuwa watu wanachanganywa kufanya jitihada za makusudi ili kufanikisha adhima yao. Mwisho wa siku ukweli utasimama na CKAWA itachukua dola na aibu itawasuta mchana kweupe.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/03247072940836945512noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671583353252333990.post-23223605763450743602015-08-02T10:22:51.778+03:002015-08-02T10:22:51.778+03:00wanatuchanganya hawa waandishiwanatuchanganya hawa waandishiAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/04573080168228446177noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1671583353252333990.post-89760277546562573412015-08-02T06:44:11.996+03:002015-08-02T06:44:11.996+03:00Makene, ukimya wa Dr. Slaa unaongeza mkanganyiko n...Makene, ukimya wa Dr. Slaa unaongeza mkanganyiko na unazidi kuwapa CCM nguvu ya kuthibitisha yote wanayoyasema juu ya Katibu Mkuu wetu kujiuzulu. Ni muafaka sasa ajitokeze na kuongea walau kwa dakika 15 najua huenda yuko busy sana lakini ukimya huu kimkakati si salama kwa chama chetu katika wakati huu.Anonymousnoreply@blogger.com